Incubator ya mayai 300 inauzwa

Incubator ya mayai 300 inauzwa

Na hiyo back up power inafanya kazi muda gani bila umeme?
Inaweza kukaa Mpaka siku nne....duration inategema matumizi yako maana back up inaungwa kwenye main switch so umeme ukikatika automatically inawaka na ku supply power nyumba nzima so kama umeme ukikatika hutumii other devices basi inakaa zaidi ya siku nne ikiwa kwa ajili ya mashine tu.
 
Unaweka oda kwa kulipia some amount delivery date ikikaribia unamalizia.
IMG-20190701-WA0023.jpeg
 
Nile Wachina Business park ubungo wanauza bei karibu na bure. Mchina namba yake ni 065 491 0708
 
Wachina wanauza nini mkuu? Vifaranga au incubator?
 
Incubators
Sawa nimewacheki Nile machinery though sihitaji mashine yoyote kwasasa....niliwatafuta kuona bei zao nijifunze kitu.

Ukienda kununua incubator mahali popote nunua hardbody usinunue portable. Hardbody zime prove performance nzuri kuliko portable, portable ambazo zinafanya vizuri ni zile ndogo kabisa mayai 48 au 96 usizidi hapo.
 
Kwanza nikupongeze kwa kuhakiki taarifa yangu. Kuna vijana wengi hapa JF ambao hukurupuka bila kuhakiki. Pili nishukuru kwa mafunzo kuhusu incubators
 
Poa mkuu.
 
Mkuu demo hao bovan wanauzwa sh ngapi kwa kifaranga kimoja na wanapatikana wapi na ukiweka oda inachukua siku ngapi
 
Bovans Brown nimenunua Star Poultry Products almost oda ni wiki 2 unapewa....nafikiri kuna vifaranga wanatoka trh 16 mwezi huu wacheki uchukue mzigo
 
Asante mkuu utaratibu wao wa kuweka oda upoje na kama utaweza nisaidie contacts zao na zako for more info
 
Contact zangu ; 0752912132

Contact zao ; 0624181003 oda unalipia 75% kabla ya delivery date unamalizia 25% then unatumiwa kama upo nje ya Dar. Oda ya vifaranga inaanzia vifaranga 300.
 
Asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom