GEMO
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 250
- 277
Habari wakuu, nauza incubator yangu ya mayai 300 imetumika miezi minne.
Incubator ni automatic, inatumia umeme, made in China.
Iko vizuri sana,sababu ya kuuza ; nimefunga mradi wa kuku chotara kwasasa nafuga kuku wa mayai ya kisasa ( Bovans Brown) hivyo siitumii tena.
Location ; Dodoma mjini.