1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 611
Wadau nauza incubator toka U.K, zipo za aina mbili,aina ya kwanza ina uwezo wa kutotolesha mayai 176 kwa wakati mmoja ambayo bei yake ni 550,000/= na nyingine ina uwezo wa kutotolesha mayai 24 kwa wakati mmoja bei yake ni 300,000/. Incubator zote ni automatic,brand new in box with a receipt na zote ni kutoka Uk!kwa mwenye kuhitaji ani PM