malogi1976
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 297
- 168
Yap ni manual ilikosewa kutangazwaKwa kuingalia hii sio automatic manual,halafu etengenezwa china
Mi sijui ila zipo za aina tofauti kwanza vitu vingi vinatoka huko huko kwaoHivi mbona naviona vingi kwenye maduka ya kuuza furniture za kichina zile MBF ambazo ukihama zinasambaratika?