1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 612 Aug 20, 2013 #1 Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni shilingi laki tatu 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba ani PM
Wadau habari!nauza machine ya kutotoa vifaranga (INCUBATOR) toka U.K, yenye uwezo wa kutotolesha vifaranga 24 kwa wakati mmoja na bei ni shilingi laki tatu 300,000/= !kwa mwenye kuihitaji naomba ani PM
1 19don JF-Expert Member Joined May 13, 2011 Posts 672 Reaction score 206 Aug 20, 2013 #2 weka picha yake au brand na model yake, pia specifications, je inageuza mayai yenyewe au kama zile za kichina mayai 64 kila siku kugeuza mwenyewe
weka picha yake au brand na model yake, pia specifications, je inageuza mayai yenyewe au kama zile za kichina mayai 64 kila siku kugeuza mwenyewe
1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 612 Aug 20, 2013 Thread starter #3 19don said: weka picha yake au brand na model yake, pia specifications, je inageuza mayai yenyewe au kama zile za kichina mayai 64 kila siku kugeuza mwenyewe Click to expand... Mkuu hii ni full automatic,mayai inageuza yenyewe na ni brand ya Uk,brinsen
19don said: weka picha yake au brand na model yake, pia specifications, je inageuza mayai yenyewe au kama zile za kichina mayai 64 kila siku kugeuza mwenyewe Click to expand... Mkuu hii ni full automatic,mayai inageuza yenyewe na ni brand ya Uk,brinsen
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Aug 20, 2013 #4 Hebu weka picha yake mkuu tuione
1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 612 Aug 20, 2013 Thread starter #5 Mr Rocky said: Hebu weka picha yake mkuu tuione Click to expand... Mkuu niko shamba kwa sasa na sina accessories kuniwezesha ku upload pics,mpaka week end ndio nitarudi mjini!
Mr Rocky said: Hebu weka picha yake mkuu tuione Click to expand... Mkuu niko shamba kwa sasa na sina accessories kuniwezesha ku upload pics,mpaka week end ndio nitarudi mjini!
N nuke New Member Joined Aug 15, 2013 Posts 4 Reaction score 2 Aug 20, 2013 #6 weka pic mapema tunasubili
jaxonwaziri JF-Expert Member Joined Feb 17, 2010 Posts 375 Reaction score 195 Aug 20, 2013 #7 Upo dar ama? Weka spec wakati unasubiri ku-upload picha
1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 612 Aug 20, 2013 Thread starter #8 jaxonwaziri said: Upo dar ama? Weka spec wakati unasubiri ku-upload picha Click to expand... Yes,ipo Dar mkuu
jaxonwaziri said: Upo dar ama? Weka spec wakati unasubiri ku-upload picha Click to expand... Yes,ipo Dar mkuu
Dancani JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 796 Reaction score 403 Aug 20, 2013 #9 1800 said: Mkuu hii ni full automatic,mayai inageuza yenyewe na ni brand ya Uk,brinsen Click to expand... Mkuu hapo nahisi unamaanisha Brinsea na sio Brinsen, cheki hapa, Brinsea.com - Official site of Brinsea egg incubators, brooders and incubator supplies
1800 said: Mkuu hii ni full automatic,mayai inageuza yenyewe na ni brand ya Uk,brinsen Click to expand... Mkuu hapo nahisi unamaanisha Brinsea na sio Brinsen, cheki hapa, Brinsea.com - Official site of Brinsea egg incubators, brooders and incubator supplies
1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 612 Aug 20, 2013 Thread starter #10 Dancani said: Mkuu hapo nahisi unamaanisha Brinsea na sio Brinsen, cheki hapa, Brinsea.com - Official site of Brinsea egg incubators, brooders and incubator supplies Click to expand... There you are mkuu,spelling ziliteleza kidogo
Dancani said: Mkuu hapo nahisi unamaanisha Brinsea na sio Brinsen, cheki hapa, Brinsea.com - Official site of Brinsea egg incubators, brooders and incubator supplies Click to expand... There you are mkuu,spelling ziliteleza kidogo