incubator from german inauzwa

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
habari wakuu kuna incubator inauzwa made in german ina spair zake kila kitu inauwezo wa kutotoresha mayai 1400 bei ni sh mil nne na laki nane tu. mwaka mmoja warrant sababu ya kuuzwa ni kutokuwa na umeme wa uhakika eneo ninaloishi mwenye uwezo aje kuchukuwa mashine
 

Mkuu Taarifa haijitoshelezi hata kidogo..............jina.....brand name......imetumika.......inatumia umeme kiasi gani......unapatikana wapi......mawasiliano yako nk..............naamini ungeweka walao hizo taarifa muhimu ingekuwa rahisi saana kueleweka mkuu

Kila la kheri
 
asnate kwa taarifa!specifications muhimu!pia ungeweka hata picha yake!biashara matangazo kaka!ilipo kwa sasa ni wapi!toa information mkuu,tuifahamu vyema!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…