Inayowindwa ni CHADEMA siyo Fr Kitima

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,941
Reaction score
51,067
Kuna watu wanashangazwa na harakati za baadhi ya wana CCM kutumia wanaojiita waumini wa Dhehebu la kikatoliki, kupambana na Padri. Charles Kitima.

Kilichoko nyuma ya harakati hizo si vita dhidi ya Kitima bali ni vita dhidi ya CHADEMA.

CCM kwa sasa ni heri wabakie na wanyonya damu kuliko CHADEMA kuendelea kuwepo.

Mbinu za CCM ni za kizamani sana zama za ujima
 
Ule uenyekiti ulimuuma sana jamaa
 
Sasa chadema mbona imeuza msala kwa wananchi! CCM hawasomi nyakati
Sijui kwa nini hawaelewi kuwa CHADEMA imefanikiwa kuwafanya wananchi ndiyo wanaopambana na CCM.

Sasa CCM inapambana na wapakwa mafuta wa Kanisa Katoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…