Wanstechnical JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 266 Reaction score 225 Feb 8, 2014 #1 Hivi mwanaume anaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu bila mpenzi? Tusaidianeni jamani manake mi nashangazwa na kidume ulokamilika kukaa kipindi chote hicho bila kuwa na "mtoto"...
Hivi mwanaume anaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu bila mpenzi? Tusaidianeni jamani manake mi nashangazwa na kidume ulokamilika kukaa kipindi chote hicho bila kuwa na "mtoto"...
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,670 Reaction score 167,723 Feb 8, 2014 #2 Hata askofu hawezi.....
Wanstechnical JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 266 Reaction score 225 Feb 8, 2014 Thread starter #3 Evelyn Salt said: Hata askofu hawezi..... Click to expand... I believe so ila inakuwaje mwanaume anajisifia eti sina msichana😳
Evelyn Salt said: Hata askofu hawezi..... Click to expand... I believe so ila inakuwaje mwanaume anajisifia eti sina msichana😳
D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Feb 8, 2014 #4 yes ni kweli kabisa inawezekana kama hujaudhiwa huwezi kujua
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,670 Reaction score 167,723 Feb 8, 2014 #5 Wanstechnical said: I believe so ila inakuwaje mwanaume anajisifia eti sina msichana Click to expand... Na inakuwaje unaamini amini maneno ya watu???
Wanstechnical said: I believe so ila inakuwaje mwanaume anajisifia eti sina msichana Click to expand... Na inakuwaje unaamini amini maneno ya watu???
yenyewe JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 621 Reaction score 94 Feb 8, 2014 #6 Inawezekana kabisa. Mi nimewahi kukaa miaka minne bila mpnz, ingawa nilikuwa nagegeda sana tu
Wanstechnical JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 266 Reaction score 225 Feb 8, 2014 Thread starter #7 Evelyn Salt said: Na inakuwaje unaamini amini maneno ya watu??? Click to expand... Inaudhi kuona mtu anaona wanaume wenzie vicheche na kujisemea yeye ni mwema kisa hajaonekana na mtoto hata day one
Evelyn Salt said: Na inakuwaje unaamini amini maneno ya watu??? Click to expand... Inaudhi kuona mtu anaona wanaume wenzie vicheche na kujisemea yeye ni mwema kisa hajaonekana na mtoto hata day one
Wanstechnical JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 266 Reaction score 225 Feb 8, 2014 Thread starter #8 yenyewe said: Inawezekana kabisa. Mi nimewahi kukaa miaka minne bila mpnz, ingawa nilikuwa nagegeda sana tu Click to expand... Wenzio hiyo kugegeda ndo problem
yenyewe said: Inawezekana kabisa. Mi nimewahi kukaa miaka minne bila mpnz, ingawa nilikuwa nagegeda sana tu Click to expand... Wenzio hiyo kugegeda ndo problem
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,670 Reaction score 167,723 Feb 8, 2014 #9 Wanstechnical said: Inaudhi kuona mtu anaona wanaume wenzie vicheche na kujisemea yeye ni mwema kisa hajaonekana na mtoto hata day one Click to expand... Achana nae huyo, tena watu wa hivo mostly "jongoo halipandi mtungi"
Wanstechnical said: Inaudhi kuona mtu anaona wanaume wenzie vicheche na kujisemea yeye ni mwema kisa hajaonekana na mtoto hata day one Click to expand... Achana nae huyo, tena watu wa hivo mostly "jongoo halipandi mtungi"
Wanstechnical JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 266 Reaction score 225 Feb 8, 2014 Thread starter #10 Evelyn Salt said: Achana nae huyo, tena watu wa hivo mostly "jongoo halipandi mtungi" Click to expand... True say
Evelyn Salt said: Achana nae huyo, tena watu wa hivo mostly "jongoo halipandi mtungi" Click to expand... True say