Inawezekana kuzipata hizi best top 5 WhasApp hack tools.

Inawezekana kuzipata hizi best top 5 WhasApp hack tools.

Try to use another app inaitwa children spy... o you can search ur mentioned apps in torrents
 
Kuitoa simu yako katika mpangilio wa kawaida ambao simu imekuja nao na kuweka upya application unazozipenda wewe mwenyewe.

Vile vile ku-root kunafanya simu yako kuwa huru kupokea application yoyote unayohitaji kuinstall, ambazo ni lazima simu yako iwe rooted.

Mfano.
(1)Screen shot
(2)Spy software
(3)Games n.k

Kuna baadhi ya application hauwezi kuinstall kwenye simu yako kama hauija-root, hivvo kwa kuiroot simu yako kutakupa uhuru wa kupokea aina zote za application, lakini pia kunakusaidia kutoa ile milio ya camera na ile ya kuwasha na kuzima kwa simu ambazo hakuna sehemu ya ku-swich off, bila kusahau inakuongezea internal space baada ya kutoa application zilizokuja na simu ambazo hauzitumii katika simu yako.

Hii ni maalum kwa simu za smartphone, ni nzuri na kama unajua umuhimu wake na faida zake, lakini pia ni rahisi sana kuua simu yako kama haujuia jinsi ya ku-root

CC Remote

Ahsante sana kwa kunijuza Mr
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom