PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
Habari wakuu naombeni msaada wenu kwa muda mrefu sasa namiliki pc ya Dell yenye pentium 4, ina processor moja na ram 256mb kwa kweli hii pc ni kimeo iko very slow.. Sasa najiuliza inawezekana nikabadilisha RAM Yake na kuweka Ram ya 2gb au 4gb ili niongeze performance yake?? Je ni kweli nikiweka RAM kubwa bila kuongeza processor perfomarnce itaongezeka??
Mmhh nani atakubali kununua machine ya pentium 4??kama mdau alivyosema hapo juu hata ukiongeza ram ni bure ipo slow sana. na ram zake ni za kizamani usishangae zikawa bei ni kubwa sana. kama unaweza kuiuza iuze ongezea hela kidogo siku hizi unapata mashine za core 2 duo zenye nguvu kama e8400 kwa around 150,000 tu hakuna haja ya kutumia technology kama hio.
Siitumii nimeipak tu ndani... Nilikuwa nataka niifufue kwa kui modifyMkuu kwa Pentium 4 sahau, jichange tu ununue machine mpya, hiyo processor nimeitumia miaka zaidi ya 10 nyuma, hadi leo bado unakomaa nayo, hapo mtoto anaanza darasa la kwanza hadi anafika form one kabisa.
Ram itasaidia ila kidogo sana, hiyo processor haiwezi fanya anything significant siku hizi labda kama unataka utumie computer kama calculator.
wanaoeka miziki kwenye simu kkoo karibia wote ndio desktop zao hizo, kuna watu wengi tu matumizi ya desktop kwao ni kuangalia movie, kuburn cd, nkMmhh nani atakubali kununua machine ya pentium 4??
3GHz Core 2 Duo E8400. Nisaidie hapo Chief. Kuna Sony desktop ina hiyo processor, ina Nvidia graphics na 4 gb ram. Hiyo processor inafaa kwa heavy processing like gaming etc?wanaoeka miziki kwenye simu kkoo karibia wote ndio desktop zao hizo, kuna watu wengi tu matumizi ya desktop kwao ni kuangalia movie, kuburn cd, nk
haifai mkuu ila ni processor nzuri kama unaipata around 150,000 desktop yake.3GHz Core 2 Duo E8400. Nisaidie hapo Chief. Kuna Sony desktop ina hiyo processor, ina Nvidia processor na 4 gb ram. Hiyo processor inafaa kwa heavy processing like gaming etc?