K kazy Senior Member Joined Sep 13, 2012 Posts 126 Reaction score 50 Mar 25, 2018 #1 Habari wakuu,naomba mnifahamishe inawezekana kuichakachua router ya smile ?? ikawa inaingia line yoyote? aina ya dualcom franklin technolgy 702??,mwenye kuua naomba msaada wake tafadhali?
Habari wakuu,naomba mnifahamishe inawezekana kuichakachua router ya smile ?? ikawa inaingia line yoyote? aina ya dualcom franklin technolgy 702??,mwenye kuua naomba msaada wake tafadhali?
Trueboy Member Joined Jul 9, 2012 Posts 98 Reaction score 72 Mar 25, 2018 #2 Ngoja waje wajuzi, mi mwenyewe Nina yangu nilikua najiuliza Hilo swali.