Inawezekana kabisa!

Inawezekana kabisa!

Princess21

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
272
Reaction score
266
Ni kweli inawezekana mkakutana hapa Jf mkaanza mahusiano na mkiwa na malengo Mungu huwa pamoja nanyi na hatimae kuwa mke na mume. Hivyo wale ambao wapo kwa ajili ya ku buy time poa endeleeni tu sie tunakutana Pm kisha kimya kimya tunapoteleaaaaa
 
Kila mtu na swagg za pm pm

Kila siku watu wanashine na pm zao

Sijui na lini mimi nitafika pm
 
Mh mbona mimi PM sijawahi kupata au unatakiwa utume maombi sehemu
 
Naweza kuhisi jinsi ulivyodesperate...hongera na kila la kheri
 
Ngoja kwanza wakuingize chaka kama utajitapa
 
Haa kumbe mi nmekaa tu km zoba kumbe humu watu wanakutana pm wanaenda zao hahahaaa..kumbe hili ni jengo la makutanio ya wanaoendana eti hahahaaa dah mi kweli nimechelewa.
 
njoo kipande hii PM tukutane alaf mrejesho sinaa :bathbaby:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom