Mkuu Kaizer,
Asante kwa mchango wako lakini nisaidie kunielewesha kiwango changu ni kipi mkuu, nisaidie hapa!!! Inawezekana sijijui sawasawa!!!!
Mkuu kwa kukusaidia tu ni kwamba ni tangu JF imeanzishwa kwa hiyo ni reliable na valid. Lakini unaponiuliza hili swali mkuu hebu kwanza na wewe reciprocate kwa kutupa data za jinsi jukwaa la mahusiano lilivyo 'overtake' mambo ya siasa.Hizo data ulizotoa ni kwa kipindi kipi mkuu? Tangia JF ianzishwe? au kuanzia tarehe ngapi mpaka lini?
Tiba
we tibakyenda wewe, kwani lazima wote tuongee siasa? wengine hatutaki stress bado tu wadogo kufa na pressure, nchi yenyewe ishauzwa hii, kwa nini sasa tuendelee kujipa machungu? sisi na mahusiano na mapenzi tu maana ndo maisha yetu tunayoyaishi kila siku, so kama unapenda siasa nenda kwenye siasa, wanaopenda mapenzi waache kwa raha zao maana naona unawapa mods kibarua kisichokuwa na maana wakati yeye mwenyewe ndo alipanga jukwaa la siasa, elimu, mahusiano, habari mchanganyiko etc. so have peace bro.
Umeshafanya mahesabu ukajua ni watu wangapi walijiunga kipindi hicho na wangapi wanajiunga sasa?
Wewe ni Moderator?
Mi nionavyo majukwaa yote yanaenda sambamba, na kama kuna watu waliolipwa waje humu ndani , basi wameshindwa kazi waliyoapa kuifanya!
Tiba, mapenzi ni sehemu ya maisha ambayo nayo inahitaji tiba ili maisha yaweze kuwa sawa, kama wewe haupendezwi na jukwaa hilo hakuna tabu waache wanaohitaji kufahamishwa na kufahamisha waendelee sio kutoa hypothesis zisizo na reseach
Mkuu,
Nakushukuru kwa mchango wako lakini nasikitika umekwenda mbali kwa kutaka JF watoe tamko. Mimi nimeomba kama wanaweza kutoa data kusupport au kukanusha mawazo yangu. Very simple.
Najua post kama hii inawagusa wengi hapa na hasa wale waliojiunga kwa nia niliyoifikiria mimi (sijasema na wewe ni mmoja wapo lakini!).
Hizi ni fikira zangu tu sio lazima ziwe sahihi.
Tiba
okay, mi wala sitachoka, nilimaanisha hii:
Tiba
Tiba has no status.
JF Premium Member
Join Date: Tue Jul 2008
Posts: 227
Thanks: 0
Thanked 8 Times in 8 Posts
Rep Power: 22
Kwa hiyo mkuu, wewe sio member tu ni premium...nikimaanisha umeshachangia hata JF, (japo nimenote kuwa kitufe cha senks hujawahi kukitumia) kwa kujua nia na madhumuni yake, ikiwemo uhuru wa maoni kwa mtu kuchangia pale anapoona panamfaa zaidi. Haikutegemewa uje na thread kama hii mkuu,
Mkuu kwa kukusaidia tu ni kwamba ni tangu JF imeanzishwa kwa hiyo ni reliable na valid. Lakini unaponiuliza hili swali mkuu hebu kwanza na wewe reciprocate kwa kutupa data za jinsi jukwaa la mahusiano lilivyo 'overtake' mambo ya siasa.
respect
Mkuu,
Nakushuru kwa ushauri. Lakini je kuna ukweli kwamba masuala ya mapenzi kwa sasa yako juu kuliko issues zinazogusa mustakabali wa taifa hili?
Tiba
Mustakabali wa Taifa wewe tibakyenda unaujua lakini? nchi yenyewe haina mwelekeo hii, wewe unakaa kuumiza kichwa eti mustakabali, mimi mustakabali wangu ni kuhakikisha familia yangu inaprosper in every way, na kule kwenye mahusiano ndo panapostawisha hili, so mambo ya mustakabali wa taifa, sijui kilimo kwanza, mfuko raki nimewaachia thi thi em.
Mkuu, naomba uthibitishe upotofu wa fikra zangu.
Tiba
sasa wewe kama hujidanganyi, nani kakwambia ukikaa kwenye computer yako rthe whole day bila kuwajibika popote ulipo ndo unapigana na ufisadi? hao pccb wenyewe mafisadi itakuwa mie?Mkuu,
Familia yako inaprosper vipi katika mazingira tuliyomo? Hapa naona unajidanganya tu. Hatupashwi kuwa hapa tulipo kama kweli tungekujitahidi kuwa kitu kimoja na kupambana na hawa mafisadi Bwana!!!!! Unless na wewe uniambie ni mmoja wa hawa MAFISADI kwani wao ni kweli familia zao ziko safi kama walivyo wao.
Tiba
Mkuu,
1. Najua hauko peke yako wapo wengi ambayo hawawezi kuona umuhimu wa hii observation yangu. Lakini kama kuna ukweli, utabaki pale pale.
2. Sikujua kwamba kwa kuwa niliwahi kuchangia JF basi sipashwi kusema kile ninachokifiria kuwa ni sahihi.
Tiba.
very well and diplomatic too FL1we sema tu bwana kila mtu ana haki ya kusikilizwa
ila mada yako umekosea jinsi ya kuiwasilisaha
natanguliza shukrani
yeah, and you cant live without itHawakukosea wahenga walonena penzi kitovu cha uzembe.
na ndio maana we are doomed to live & die pooryeah, and you cant live without it