Inawezeka tena kuapply chuo mwaka huu wa masomo?

HASSAN MOLLEL

Member
Mar 25, 2014
9
3
Hi all!
mwaka jana nilichaguliwa chuo kwa ngazi ya degree level nikaenda chuo nikafanya usajali baada ya kukaa miezi miwili maisha yakawa magumu nikafanya maamuzi magumu ya kuhairisha mwaka wa masomo nikiandika barua kwa register akanikubaliya.sasa mm sitaki tena kurudi huko nilikuwa nataka kuapply upya .what is effect ?karibuni kwa ushauri wadau!
 
majibu wakuu
 
majibu wakuu
Haina shida, wasiliana na TCU au NACTE wakutoe kwenye database yao maana sasa hivi wao wanajua unasoma hivyo huwezi kuomba chuo mara ya pili mfumo wa komputa utakukatalia.

Waandikie barua TCU au NACTE uwaeleze kua uliacha chuo mwaka jana na uwape sababu na kama una barua ya chuo chako kuthibitisha unaambataanisha. Bila hao watu hutoweza kuomba tena.
 
poa mkuu nitafanya hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom