max mathew
Member
- Jul 17, 2016
- 32
- 33
Nimefikiriaa mtoto akizaliwa huzungumza lugha ya sehemu alipo zaliwa sasa huwa najiuliza ikitokea wakachukuliwa watoto wachanga kama 10 au zaidi wakawekwa sehemu ambyo hawawezi kusikia lugha yoyote hadi wanakua wakubwa je wataongea lugha gani?
au watakua bubu?
tusaidiane
au watakua bubu?
tusaidiane