Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 92
- 280
Tunauza NIPPLE DRINKER SYSTEM kwa ajili ya kunyweshea kuku maji kwa usafi na ubora wa hali ya juu.nipple ni (Vifaa vya kisaaa ambavyo hutumika kuwapa kuku maji ya kunywa)
FAIDA ZA NIPPLE DRINKER:-
1) Kinyesi hakichanganyiki na Maji hivyo maji huwa safi muda woote na Hupunguza uwezekano wa kuku kupata magonjwa au maambukizi ya magonjwa maana maji yanakua ndani ya ndoo na yanatoka kidogo kidogo kama matone pale Kuku anapo igusa nipple.
2) Zinafaa kwa brooding area (eneo lilotengwa kwa kuwahudumia vifaranga).
3) Kuku hawachafui banda kwa kumwaga maji.
4) Hunywesha maji Kuku wengi na Hupunguza ukubwa wa kazi, kwamaana hukuna tabu ya kuziosha drinker zako kila siku, kwakuwa kuku hawezi chafua maji yalio ndani ya drinker hii.
5) Huepusha magonjwa yatokanayo na kuchanganyika kwa kinyesi na maji.
6) Ni rahisi sana kutumia, mana utakuwa unajaza maji tu kwenye chombo/drinker na kuendelea na shughuli zingine.
7) Ni imara sana, hudumu muda mrefu bila kuharibika
8)Hubeba maji mengi kwa wakati mmoja,hivyo unaweza kukaa siku 3 na zaidi bila kuweka maji mengine kulinganga na ukubwa wa chombo utakachotumia.
3,500/= pc 1
0785670227
0762212623