Foxhound JF-Expert Member Dec 15, 2013 28,726 76,127 Jun 11, 2017 #3 Nani ahamie huko, subiri kutulie then ndio uuze
issa mweusi JF-Expert Member May 31, 2015 1,477 1,138 Jun 11, 2017 #5 hata kwa laki tano sinunui kama unaweza mtafute silencer umuuzie maana yy ndo kidume huko
Erickford4 JF-Expert Member May 22, 2017 1,133 1,096 Jun 11, 2017 #8 kama upo serious njoo tufanye biashara... Nyumba nzuri hivyo kwa 4m?
mogulnoise JF-Expert Member Oct 28, 2014 2,434 5,537 Jun 11, 2017 #9 Yule sinpper mshamuondoa nije ninunue