Sababu ya kuuza? Imekusumbua au? Upatikanaji wa spare parts? Ulaji wa wese ukoje? Inapatikana wapi, Mogadishu, Nairobi au Sumbawanga?View attachment 62813 View attachment 62814 View attachment 62815 View attachment 62816
picha zinajieleza. gari iko katika hali nzuri kabisa, imetembea kilometer 18,000 tu tangu kuingia nchini.
bei 12,500,000/- (milioni kumi na mbili, laki tano tu)
2500cc, vvti engine, AC, FM radio, CD player, electronic doors, spare key.
TV/DVD player ipo, japo haijawahi fanya kazi tangu gari ifike nchini - user manual ya kijapani
piga simu 0752 435 006
Afu mkuu umejiunga JF 2008 na leo ndo umerusha post ya kwanza.... Nimekuvulia kofia wallah!
Hahahaha......... kwa hiyo akileta mkoko mwengine anarusha post ya pili?Alikuwa anasubiri mzigo utoke bandarini.
Alikuwa anasubiri mzigo utoke bandarini.
Hebu tuweke vizuri mkuu title inasema gari imetembea 50000km lakini kwenye maelezo unasema ina 18,000km ni ipi kweli?
Stop tempering with odometers! 50 000 kms?
Hahahaha......... kwa hiyo akileta mkoko mwengine anarusha post ya pili?