willylikes
Member
- Jul 6, 2013
- 16
- 0
Madame X ni TOYOTA RAUM YA BLUE ETI!Ndo gari gani?
Madame X ni TOYOTA RAUM YA BLUE ETI!
Ni kweli Untie...Lakin ndio walivyo maripota wetu humu ndani, habari wanaleta nusunusu ndio maana nikakujibu hivyo kutokana na data zao kuwa finyu kwenye kufikiasha ujumbe MadameX. Tumsamehe bure amekaa kimipasho zaidi leta ujumbe.Ndo Ikoje...wengine hatujui ina matairi mawili au matatu. Picha muhimu uncle
weka picha,maana kuna gari moja nilipelekwa kuiona maeneo ya tbta sijui ndio hiyo,rangi ni ya blue ila namba siikumbuki.TOYOTA RAUM.
Year 1997.
CC. 1490.
Model no E-EXZ10.
Tsh 8,000,000/=
Contact: 0684800884
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums