Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,916 Reaction score 6,526 Dec 11, 2024 #1 Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.
Fabian Vitus JF-Expert Member Joined Jul 18, 2022 Posts 6,340 Reaction score 8,242 Dec 11, 2024 #2 Lanlady said: Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.View attachment 3174762 Click to expand... Ila kimekaa utam cha umeme au subiri waje wenye kujua
Lanlady said: Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.View attachment 3174762 Click to expand... Ila kimekaa utam cha umeme au subiri waje wenye kujua
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,488 Reaction score 20,039 Dec 11, 2024 #3 Arusha ni 3M -3.2M ila Moshi kwa 2.7M zinapatikana. Zipo aina mbili hizo kuna za full auto na auto/manual yaku opt.
Arusha ni 3M -3.2M ila Moshi kwa 2.7M zinapatikana. Zipo aina mbili hizo kuna za full auto na auto/manual yaku opt.
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 9,314 Reaction score 25,453 Dec 11, 2024 #4 Lanlady said: Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.View attachment 3174762 Click to expand... Nzuri
Lanlady said: Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.View attachment 3174762 Click to expand... Nzuri
W wadadu Member Joined Dec 8, 2024 Posts 23 Reaction score 52 Dec 11, 2024 #5 Fabian Vitus said: Ila kimekaa utam cha umeme au subiri waje wenye kujua Click to expand... Hapana mkuu si ya umeme. Kanatumia mafuta. Pia pikipiki hizi bei yake ni 2.5 mpaka 3 ina range humo. Na ni kwa sababu ya fuel consumption yake. Kama sikosei full tank ni elf13 na kama ni mtu wa route chache basi unaweza kutoboa mwezi. Ni pikipiki nzuri kwa uchumi wa watu wa Chini
Fabian Vitus said: Ila kimekaa utam cha umeme au subiri waje wenye kujua Click to expand... Hapana mkuu si ya umeme. Kanatumia mafuta. Pia pikipiki hizi bei yake ni 2.5 mpaka 3 ina range humo. Na ni kwa sababu ya fuel consumption yake. Kama sikosei full tank ni elf13 na kama ni mtu wa route chache basi unaweza kutoboa mwezi. Ni pikipiki nzuri kwa uchumi wa watu wa Chini
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,916 Reaction score 6,526 Dec 11, 2024 Thread starter #6 wadadu said: pikipiki hizi bei yake ni 2.5 mpaka 3 ina range humo. Click to expand... Wapi nitaipata mpya ,sio used
wadadu said: pikipiki hizi bei yake ni 2.5 mpaka 3 ina range humo. Click to expand... Wapi nitaipata mpya ,sio used
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,109 Reaction score 27,697 Dec 12, 2024 #7 Lanlady said: Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.View attachment 3174762 Click to expand... Msuli wa kuvaa unao?
Lanlady said: Kwa anayejua bei ya hizi pikipiki na mahali zinapopatikana, anijulishe tafadhali.View attachment 3174762 Click to expand... Msuli wa kuvaa unao?
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,916 Reaction score 6,526 Dec 12, 2024 Thread starter #8 Kalaga Baho Nongwa said: Msuli wa kuvaa unao? Click to expand... Msuli? Kwanini msuli?
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,109 Reaction score 27,697 Dec 12, 2024 #9 Lanlady said: Msuli? Kwanini msuli? Click to expand... Za wenyewe hizo
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,916 Reaction score 6,526 Dec 12, 2024 Thread starter #10 Kalaga Baho Nongwa said: Za wenyewe hizo Click to expand... Mbona wanasema ni mil 3? Huko ulipo zinauzwaje?
Kalaga Baho Nongwa said: Za wenyewe hizo Click to expand... Mbona wanasema ni mil 3? Huko ulipo zinauzwaje?
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,087 Reaction score 12,694 Dec 12, 2024 #11 Kinaweza beba mpaka Kilo ngapi?