Pole ehhh!!Ndo ukubwa huo!!Kila mtu roho yamuuma jamani yangu mie si ndo itakuwa mahututi kabisa...kwishnei!
BRN siyo mchaga...ninauza bastola wasiliana na mimi m_sayi@yahoo.com
Habarini za jioni wanajamvi. Hivi hawa watu wakoje jamani? Yaani we umejibana umemnunulia ka Vitz lakini anakuja kukuona haufai kwa ajili ya jamaa aliyemnunulia mafuta ya sh10,000/- Haya hiyo kama haitoshi,umemnunulia smartphone lakini anakuja kumuona wa maana aliye mnunulia vocha ya sh 500. Bado..umempeleka chuo kwa gharama zako lakini anamuona wa maana mwanachuo mwenzie kwa sababu ya kusaidiwa kwenye masomo..woote hao wanamgegeda. Hivi kwanini hapo tusiwe ma Sniper.. INAUMA.
BRN siyo mchaga...
Wanaume mnalalamika sana Jf sijui tatizo ni nini!
he he he loh....yangu mie najifukia nayo mwenyewe...Kwani na wewe umemnunulia mtu prado..???