Unamnunulia demu CiM mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA, Huo ni Mgawanyo wa Majukumu. Unamerushia demu love SMS yeye ana foward kwa Mwanaume mwenzako Huo ni Mwingiliano wa mtandao. Unamnunulia demu CHUPI , Mwanaume mwenzako ANAMVUA, Huko ni kusaidiana ktk maisha. Unamwomba demu mfanye mapenz japo kwa dakika chache, mwanaume mwenzako anabembelezwa na demu wakalale mpaka asubuh ,Huu ni mtazamo tu,TAKE CARE