mkuu kumuamini mwanamke ni kujitafutia matatizo yasiyotatulikakumuamini lazima umuamini ila pia anatakiwa afahamu endapo akifumaniwa nini kinachofuata hakuna mjadala...
Even a dead body[emoji23][emoji23]Trust nobody
waliotulia wapo mkuu...mkuu kumuamini mwanamke ni kujitafutia matatizo yasiyotatulika
Even a dead body[emoji23][emoji23]
mkuu badilikeni, nyie ndo mnasababisha mkaa utumike kuwaadhibuTutayasikia mengi
π π π π imeisha hiyo.Unasema[emoji848]View attachment 1479345
wanapatikana sayari gani? au kwa kua hujamfuma ndo maana unajiaminisha?waliotulia wapo mkuu...
kumbe kule kutusifia na viapo vya kutusaliti hua mnatung'ong'a tu mkuu?Trust nobody
...noti iveni yuaselfu [emoji16]Trust nobody
Goshhhhhh...noti iveni yuaselfu [emoji16]