Kwakweli...maana dah!kuna style nyingi za kuondoa stress
Ha ha ha ha ha ha ha[emoji23]Hahahahahahaa nimejikuta nacheka kwa kugumia.
Mleta mada pole kwa yaliyokusibu ukiweza kutoa yaliyo moyoni huwa ni dawa nzuri sana hata kama jinsi ya kuyayoa ni kwa sanaa na ubunifu mkubwa.
Na kwa uelewa wangu hakuna mnyama anayeingiliana kimaumbile jinsia moja kama mashoga na wasagaji zaidi ya binadamu.
Labda ufafanue zaidi.
Yaani stim za ukali zote zimehamia kwingine........hapa nikiangalia picha nilizompiga kipindi kile akiwa jemedali machozi yananilengaAiseeeee nimecheka sana na hii lugha yako ya kichochezi douh!!!!!Kwa maana hiyo mbwa wenu amekuwa si rizki tena na bhange juu!!!!!!