amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,169
- 31,356
Jana nilikuwa kwenye rusha roho mitaa ya nyumbani migomigo
basi tukajifaragua hapo na nyimbo kibao za kurushana roho.
Ilipofika mida ya saa 6 usiku kuelekea saa saba nguvu ziliniisha wakaingia wa.s.e.n.g.e wawili mmoja mkubwa kidogo age inelekea 20's na mwingine mdogo sana nafikiri atakuwa under 18 walikata viuno mpaka wanabinjuka na vibwaya wamejifunga.
Mimi niko very emotional sana nilishindwa kuendeleakucheza kwa sababu ya yule mtoto m.s.e.n.ge miguu iligongana nikapatwa na pigo la ghafla nikatamani nimuite ila nitaanzia wapi?mbaya zaidi watoto wa mtaani wakaanza kucheza nae na kumshikashika
roho iliniuma sana sana
nimeamua kushare na nyie habari hii
yule mtoto kama angekuwa anasoma nauhakika angekuwa form 3.
nawasilisha
nimeedit kidogo mimi ni mwanamke jamani