Inauma hivi kuwa single...

nikifanya sana kazi nikijisikia kuchoka, huwa naingia JF, huku najua nitaji refresh, hasa kwa madongo ya members... yaani nimecheka hadi basi, watu mna maneno sijapata kuona.....
 
wish ngekua talented kuchora ngekuwa mwalimu mzuri..!!!:focus: whats your namba means hw many relationships utakua umepitia kama unastail ya kuacha kila siku na kutafuta mwingine????

nimekwambia pia once am comitted nazama kwelikweli so so far ni tano ndio nnayo
 
Mmmmmm!pole ila kweli inaleta raha ukiwa na mtu ambaye mda wowote ukiwa na hamu anakuwepo yaaan.
 
 
Poor thread! Wapelekee fb izo bob zako!
 
Uandishi wa kipumbavu namna hii fanya na rafiki zako kule facebook, hapa usilete Ushauharo.

Kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiii eti ushauharoooo haha haha ahaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…