Inauma hivi kuwa single...

sasa kipi ambacho hakijaeleweka jamani....au kuna ma slow learner nini,
 
For sure maisha ya usingle kwa mwanaume ni wizi mtupu. Mwanamke anaweza lakini sisi tunakuwa na wa kupooza injini
 
mosi,nimependa uungwana wako wa kuomba radhi kwa aina yako ya uandishi wa mwanzo,safi sana.pili,nimestaajabu na hitimisho lako,ambalo nahisi limetokana na experience yako.kilichostaajabisha ni muda:miaka mitatu una mtu,miaka miwili na nusu upo 'single' na bdo haijaweza futa 'sumu' uliyotema.ntarudi
 
sasa kipi ambacho hakijaeleweka jamani....au kuna ma slow learner nini,

Hawakusoma spelling n grammar...
“Take people how you find them, not how you want them to be”..
 
For sure maisha ya usingle kwa mwanaume ni wizi mtupu. Mwanamke anaweza lakini sisi tunakuwa na wa kupooza injini

Umeona MESTOD.. That is the Reality..™
 

Nimekuelewa kidogo sana....
Niongeze uelewa wa wa kauli yako...
 

kweli usemalo...ndio maana watu wakibreak up lazima tuu atatafuta mpenzi mpya maana kashazoea kuwa na mtu na kautamu kale hkakose tena loh!!
bora mie sinawahi kuwa na gf so malaya nagonga na sioni ninachokosa...duh!! kweli niliona mbali hapo wacha nijisifu
 

Mzee huna demu? You always purchase the!!
 

Mzee huna demu? You always purchase them!!
 
kweli me ndo siwezi kukaa even nusu saa bila bf,akisepa navuta wa mbele yangu, i cant b lonely aiseee

My dia swali la kizushi...!!!!!WHAT'S YOUR NUMBER??maana kwa stail yako i cant imagine!!!!!
 
usingle unaboa sana aisee unajihisi you are alone around theworld ,ujue ukipata hani mlieshibana weee asikwambie mtu hakuna faraja kama upendo wa kweli bana you feel satisfied yani heee
 
cjakuelewa hapa nichoree picha kama vipi

wish ngekua talented kuchora ngekuwa mwalimu mzuri..!!!:focus: whats your namba means hw many relationships utakua umepitia kama unastail ya kuacha kila siku na kutafuta mwingine????
 
maisha yana stress bila suprise cku haziendi ila ndo ujipange ukizingua ujue fasta kwa subsitute

me siwezi kukuzingua....kama libeneke waliweza itakuwa vizuri maana mwenzio alikimbia shughuli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…