Inatosha.

Ahahaha wakati naanza kupita hapa, nikajikuta narudia mara mbili mbili kuisoma I'd. Ila kila nikirudia, naona jina linasoma MLEVi Mmoja...!!?

Sasa nikaanza kujiuliza huyu MLEVi Mmoja vipi tena, leo ajasukutua?. Kumbe kweli bhana.....ndio unaenda sasa!!

Kila la kheri ndugu.
 
Mi siwezi badilika kisa pesa.

Trust me.
Niko tayari babe ila jitaidi uwe na ka usafiri mi staki gari cha muhimu usafiri tu mpenz, usije nunua ist ukajiita mwenye gari sema nina usafiri πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kweli duniani, tupo wawili wawili. I see my shadow...
 
Basi tena nishachelewa, sijaziona hizo nyuzi
 
Niko tayari babe ila jitaidi uwe na ka usafiri mi staki gari cha muhimu usafiri tu mpenz, usije nunua ist ukajiita mwenye gari sema nina usafiri πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Sawa baby ntakupiemu tuyajenge mamiloo Sweet16
 
Wa huko mtaani ndo haohao wa jf ila tofaut ukiona mtu anaijua jf ana mpaka [emoji723] anakuwa something special either yupo vzr kielimu au masuala mengine hyo ni Theory tu sio lazima iwe na ukwel ila choice ni yako hata mbingun we tafuta tu

Walevi hatuna hekima sisi ni watu wa hovyo acha kutukosea adabu
Sawa mlevi mwenye hekima zake...japo mm hzo sifa ninazo...mi nilitaka wa JF. maana hawa wadada wa humu wana akili sana. Kwa navyoona.
 
Ndo Nmetoka sasahiv hapa kubugia safari zangu mbili
 
Niko tayari babe ila jitaidi uwe na ka usafiri mi staki gari cha muhimu usafiri tu mpenz, usije nunua ist ukajiita mwenye gari sema nina usafiri πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Njoo kwangu mrembo Mimi nina kausafiri tena ka bombadier ila kanatumika saa nane za usiku automatically ndo kanafanya kazi

Nasemea ungo wa kichawi niliopewa na bibi yangu Njoo tupae mrembo tuwakanyage wambea
 
😳 😳 😳 😳 😳 usafiri gan huo usoitwa chombo cha moto, usokuwa na plate no.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nataka usafiri wa kunipik wenzangu wananiona bana, umejitaidi ila ujafikia uhitaji wangu
 
Mbona hata tukitakaa tunaweza paa mchana mashoga zako wakakuona
😳 😳 😳 😳 😳 usafiri gan huo usoitwa chombo cha moto, usokuwa na plate no.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nataka usafiri wa kunipik wenzangu wananiona bana, umejitaidi ila ujafikia uhitaji wangu
 
Sawa mkuu
 
Njoo kwangu mrembo Mimi nina kausafiri tena ka bombadier ila kanatumika saa nane za usiku automatically ndo kanafanya kazi

Nasemea ungo wa kichawi niliopewa na bibi yangu Njoo tupae mrembo tuwakanyage wambea
Sasa mbona tunageukana tena hujui kwamba nishaweka kambi kwa huyu.

Sweet16 mpenzi hebu muone huyu mchokozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…