Sa nyingine tuihurumie serikali sio kila kitu tunalaumu serikali na kuifananisha na nyingine wakati serikali zina uwezo tofauti.Tatizo siyo kujiajiri! Mbona hakuna anayependa kuajiriwa, wote tunapenda kujiajiri tena sana ila mtaji wa kuanzia hatuna. Bahasha lazima tuendelee kutembea nazo ili kupata source of capital,
serikali yetu haitujari wananchi ndo maana vyeti vyetu havithaminiwi, kwa wenzetu mtu akigraduate anachukua vyeti anapeleka bank anapewa mkopo anaanza kazi anakuwa self employee, na tatizo siyo mfumo wa elimu bali ni poor governance,:
Mwenye kujua source ya capital after school atuambie
Source of capital zipo nyingi tu.unaweza kuanzisha biashara hata ndogo tu,sema wanachuo wengi wanajifanya matawi na ubisho.unalalamika mtaji wakati una simu ya laki nane kwa wengine mtaji tosha kabisa
Source of capital zipo nyingi tu.unaweza kuanzisha biashara hata ndogo tu,sema wanachuo wengi wanajifanya matawi na ubisho.unalalamika mtaji wakati una simu ya laki nane kwa wengine mtaji tosha kabisa
Me ntatoa mawazn yangu kidogo maisha kwanza n4 kupgana na kua na nia ya dhati pia uthubutu.
kiukwel kwa wale ambao wanaanza mwaka wa kwanza familia nying huwa na kihoro horo hivyo ujitahid sana kuwapa vijana wao pesa ya matumizi madogo madogo angalau laki kwa miezi 2.hivyo kwa watu wenye malengo mnaweza kuunganisha nguvu mkachanga mkanunua boda boda ambayo kwa bei ya mtaani boxer iliyotumika kidogo unaweza kupata ata kwa milion na laki 3 had 5.
Mkinunua mnampa mtu hesabu kwa siku elfu 10 hapo service juu yenu inamana kwa mwezi mna uhakika wa kupata laki 3.
Inamana mpaka semester 1 inaisha miez 3 mtakua mna laki 9 ukitoa na ela ya service mnaweza kubakiwa na laki 7 na nusu.
iyo tayar ni ela nyingi inayoweza kuwapa dira ya kufanya vitu vingine kwa mtaji kidogo mlionao.
cha msingi ni kujituma na kuthubutu.
Hadith yako mzur xana im£tufundixha m£ng kama vp tul£t££ nyingn£Wengi wetu graduates tunapenda mauzo, usharo na udada duu...
Kuna jamaa nipo nae hapa church, actually yeye ndio ameniinspire nizame kwenye biashara, mpk ikafika state nikawa na hulka za kupostpone masomo... but always fortune favours the bold, saivi nina capital ya kutosha na turnover safi saaana...
Huyu bw. alimaliza UDBS 2007, kasanda kitaa karibia miezi6, bahati mbaya home kwao si wasomi wala hawajui system inaendaje, wao wanajua ukimaliza chuo kazi unapata the next day, basi yule bw akaanzishiwa ligi la kufa mtu pale kwao, matusi na masimango non-stop...
Jamaa akaamua avae ngozi ya simba jike, kaingia kitaa kutafuta pesa kwa jasho na damu. Mshkaji akapata wazo la kupiga debe, akaset plan ya kupiga debe ya kidigrii digrii, asubui gari 20 jioni gari 20 only 2 hrs a day, kwa siku alikua anapiga ef20... kapiga nonstop mwezi mzima, akavuna laki6 net. Akaacha kupiga debe akakamata fursa nyingine, safari hii aliamua ajilipue na biz ya mkaa, by that time gunia lilikua 25'000 on wholesale na anauza 30'000 on retail, jamaa alipiga kwa miezi kama8 then akawa na mtaji mnene kidogo. Akaswitch kwenye kazi ya umiddleman, anachukua mzigo wa viazi mbeya+njombe then analeta masokoni(buguruni, ilala, kisutu, TMK nk) kapiga umiddleman wa kuku(broilers) anachukua kwa wafugaji then anawamwaga sokoni...
Huyu bw tangu 2012 kaingia kwenye biz ya animal feeds, ambapo company yake imeingia top100 midsiezed intreprises in TZ 2014...
There he went, there he prospered....
My take...
Ukimaliza chuo, kamata vyeti ingiza kwenye bahata, dumbukiza kwenye kabati, tia lock... then ingia mtaani mzima mzima, usipepese macho wala usipindishe ambitions zako.
Kuna kitu kaongelea mkuu sir jj naomba kuongezea experience yangu kdg,jamaa kasema wanachuo wengi wanapenda urahisi wa maisha sana kiasi cha kutumia boom lake lote kujenga shavu mpk mtu anasahau kujiwekea kiakiba. Ukiwa na malengo kwa wenye bum lazima utatoka kupitia pesa hiyo!naomba niwaongelee wanafunzi wa udsm as an example,utakuta mtu anatokea katika familia ya kawaida tu lakini nguo hafui yeye anapeleka dry cleaner,mbali na hilo unakuta pesa yake nyingi anatumia kununua vitu kama maji mpk makopo matatu ya sh.600 kwa siku wakati angeweza kununua jagi kwa ajili ya kuchemsha maji ya kunywa kwani pale maji yake hayana chumvi na pia wanafunzi wanaruhusiwa kutumia umeme kwa uhuru zaidi