Tiba JF-Expert Member Joined Jul 15, 2008 Posts 4,607 Reaction score 3,191 Aug 26, 2014 #2 Mshana Jr. ni kweli inatokeaga maishani kama ilivyokutokea juzi ukalipwa kwa pesa feki. Hebu twambie hao watu mliwakamata? Tiba
Mshana Jr. ni kweli inatokeaga maishani kama ilivyokutokea juzi ukalipwa kwa pesa feki. Hebu twambie hao watu mliwakamata? Tiba
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 26, 2014 Thread starter #3 Tiba said: Mshana Jr. ni kweli inatokeaga maishani kama ilivyokutokea juzi ukalipwa kwa pesa feki. Hebu twambie hao watu mliwakamata? Tiba Click to expand... Thanx Tiba tunapigwa danadana tumetoa namba za watuhumiwa na location zao na mengine mengi lakini ndo hivyo tena hakuna uptodates za maana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tiba said: Mshana Jr. ni kweli inatokeaga maishani kama ilivyokutokea juzi ukalipwa kwa pesa feki. Hebu twambie hao watu mliwakamata? Tiba Click to expand... Thanx Tiba tunapigwa danadana tumetoa namba za watuhumiwa na location zao na mengine mengi lakini ndo hivyo tena hakuna uptodates za maana
Tiba JF-Expert Member Joined Jul 15, 2008 Posts 4,607 Reaction score 3,191 Aug 26, 2014 #4 mshana jr said: Thanx Tiba tunapigwa danadana tumetoa namba za watuhumiwa na location zao na mengine mengi lakini ndo hivyo tena hakuna uptodates za maana Click to expand... Pole, ndio tz hiyo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Thanx Tiba tunapigwa danadana tumetoa namba za watuhumiwa na location zao na mengine mengi lakini ndo hivyo tena hakuna uptodates za maana Click to expand... Pole, ndio tz hiyo.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Aug 26, 2014 Thread starter #5 Tiba said: Pole, ndio tz hiyo. Click to expand... Wee acha tu kusolve ishu kama hiyo u need dig deep in your pockets
Tiba said: Pole, ndio tz hiyo. Click to expand... Wee acha tu kusolve ishu kama hiyo u need dig deep in your pockets
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Aug 26, 2014 #6 Maishani ni kweli
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Aug 26, 2014 #7 mshana jr said: Wee acha tu kusolve ishu kama hiyo u need dig deep in your pockets Click to expand... hapo huu pananikosesha amani,pole sana kiongozi
mshana jr said: Wee acha tu kusolve ishu kama hiyo u need dig deep in your pockets Click to expand... hapo huu pananikosesha amani,pole sana kiongozi
Heaven Sent Platinum Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,719 Reaction score 98,389 Aug 26, 2014 #8 Sometimes YES. Kufail kunaweza kuwa ni blessing in disguise. Unaachwa udondoke ili uokote kitu ambacho kama usingedondoka basi usingekipata kwa kusimama tu (ku-win). Unapofail kung'uta mavumbi na usimame na jifunze kitu hapo
Sometimes YES. Kufail kunaweza kuwa ni blessing in disguise. Unaachwa udondoke ili uokote kitu ambacho kama usingedondoka basi usingekipata kwa kusimama tu (ku-win). Unapofail kung'uta mavumbi na usimame na jifunze kitu hapo