MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,707 71,003 Jun 17, 2017 #2 mshana jr njoo uangalie halafu utuelezee wengine tunaogopa kuangalia
MWALLA JF-Expert Member Dec 12, 2006 16,992 10,497 Jun 17, 2017 #5 jose tajiri said: Katoka jera Click to expand... [HASHTAG]#Jela[/HASHTAG]
S SG8 JF-Expert Member Dec 12, 2009 3,955 2,125 Jun 17, 2017 #7 dah nakumbuka stori ya huyu dogo alidakwa getini muhimbili akiwa na kichwa cha mtu
Myangu JF-Expert Member Dec 15, 2012 7,172 9,707 Jun 17, 2017 #8 Duuuhh katoka miye nilijua atalamba maisha huko jela
papason JF-Expert Member Sep 14, 2010 5,119 5,683 Jun 17, 2017 #12 Huyu dogo inawezekana aliuwa watoto wengi sana, tena anaonekana utalaam huo bado anao, anapaswa kusakwa na kuuwawa, akijichanganya na kuja usukumani kwisha habari yake!
Huyu dogo inawezekana aliuwa watoto wengi sana, tena anaonekana utalaam huo bado anao, anapaswa kusakwa na kuuwawa, akijichanganya na kuja usukumani kwisha habari yake!
nra2303 JF-Expert Member Jul 28, 2015 2,975 2,543 Jun 17, 2017 #15 Huyu hatokaa mtaani mda mrefu sana,
Ndondocha mkuu JF-Expert Member Feb 17, 2014 2,354 2,764 Jun 17, 2017 #16 duuuu,wanaume wa dar kaeni chonjoo,anatafutaa vichwa vingine sasa
Mgodo visa JF-Expert Member Nov 1, 2016 3,562 3,559 Jun 17, 2017 #19 bushland said: Tumsifuni Yesu kristo Click to expand... Tumsifu Yesu kristo kwa lipi...!! Kwa kumtoa Dogo Lama Jela.. !? Jitazama wewe.. kuna sehemu za kumsifu Yesu...
bushland said: Tumsifuni Yesu kristo Click to expand... Tumsifu Yesu kristo kwa lipi...!! Kwa kumtoa Dogo Lama Jela.. !? Jitazama wewe.. kuna sehemu za kumsifu Yesu...
Geechie JF-Expert Member Oct 26, 2015 977 760 Jun 17, 2017 #20 Kama mwanga si angekula vichwa vya wafungwa wenzie huko aone balaa Lake nae wange mla