Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Hii Hatari kubwa angebaki huko huko jela.
pamoja na uchawi wake wote alikua anajua fika jela kuna MANYAPALAKama mwanga si angekula vichwa vya wafungwa wenzie huko aone balaa Lake nae wange mla
milele aminaTumsifuni Yesu kristo
Pamoja na kukutwa na kichwa cha mtu bado akawa huru!! Basi kumbe kujua kuitumia sheria raha sana.Yuko Huru alishatoka.
Unaweza kuuwa na ukawa Huru kama Mahakama imekosa ushahidi usio na shaka wa kukutia hatiani.Pamoja na kukutwa na kichwa cha mtu bado akawa huru!! Basi kumbe kujua kuitumia sheria raha sana.
Hivi ni kweli huyu jamaa aliachiwa?!
mshana jr njoo uangalie halafu utuelezee wengine tunaogopa kuangalia