666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,046
- Thread starter
- #21
unakuta jinga kama hili kwakua lenyewe hizi ndege hazimuhusu sababu ya kupanda mabus, basi linachukia chukia tu likiona watu wanafanya tafakulu ya chombo chao pendwa cha usafiri basi linavamia tu.Akili bure kabisa. Yaani wewe watu wanawaza vitu vya maana wewe unawaza ujinga na uzezeta
Sent using Jamii Forums mobile app
ndege ni complicated, sio mabus, kua serius.