​Hii picha imenitoa machozi! Mtoto akimzika mtoto mwenzie aliyefariki kwa ajili ya njaa huko Sudan ya Kusini. Wakati wewe unakula, unashiba na kutupa chakula kingi, kuna wengine sehemu fulani wanakufa kwa ajili ya njaa. Inatia simanzi sana!!
Upebari ni mfumo wa kishetani,na hakuna mfumo mbaya kama upebari,mfumo unaoruhusu unyönyaji matabaka na umiliki binafsi wa rasilimali sio mfumo ndo unaoleta utajiri na umaskini.
​Hii picha imenitoa machozi! Mtoto akimzika mtoto mwenzie aliyefariki kwa ajili ya njaa huko Sudan ya Kusini. Wakati wewe unakula, unashiba na kutupa chakula kingi, kuna wengine sehemu fulani wanakufa kwa ajili ya njaa. Inatia simanzi sana!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.