Kwaio unataka kusema maskin ndo wanapendaga?
Maskini ndo watumwa wamapenzi na ndo wanao lia kila siku kwa wapenzi zao
Tajiri furaha yake kuona kampuni zake zinasonga mbele
Akaunti zinatema kila jua linapochomoza
Mwanamke akimbie aende wap aache mpunga
Hata akikimbia milango ipo wazi
Ladies znajitongozesha zenyewe koz of money
Kwanza ukiona mwanaume unatongoza et nimekupenda sijui na lala nakuota ujue wewe bado maskini sana,
Advanced gentleman ni anauliza jina la Huyo lad, namba yake ya simu thereafter special appointment siku hiyo kama vip mtu unang'oa na mzigo kabsa!
I love you kelele za mande,
I only love my work and money!!!
Kwa