hivi jamani mmewahi ona hii? eti m2 ana mpenzi wake ambae wanajuana kila kona lakini cha kushangaza eti mwanaume akiuziwa au akiwa hajapendezwa na ki2anashindwa kufunguka na kubaki na kinyongo. hii imekaaje
inategemea uzito wa jambo husika, na si kila kitu ni kufunguka.may be amekuwa akifunguka anaambulia verse tu hata kwa mambo ambayo yako wazi,so anaamua kuacha.
hivi jamani mmewahi ona hii? eti m2 ana mpenzi wake ambae wanajuana kila kona lakini cha kushangaza eti mwanaume akiuziwa au akiwa hajapendezwa na ki2anashindwa kufunguka na kubaki na kinyongo. hii imekaaje
ukiona hivyo ujue huyo mwanaume anaongozwa na mwanamke, anaogopa kuchukua maamuzi magumu, anadhani kwamba kuwa na huyo mwanamke ni kama bahati( mwanamke matawi), au anatoka katika familia ambayo mama alikuwa anamkontroo baba au alilelewa na mama pekee.