mkuu umenena haswa Hawa jamaa wanawaza matumbo Yao tu hawajali chochote Kwa wananchi wao wale akilipwa mishahara minono,posho nzuri,gari Kali V8 per diem za kuzidi,na wakigawana vitega uchumi vya Nchi Kwa upigaji wanaona mambo swaaafiiii
Mbaka wanadiriki kusema Kama tuna malalamishi Sana tuhamie Burundi
Aaaaagh inaumiza Sana!