Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Wakuu mnakumbuka ilikua ni Leo Majaji kuamua Suala la Samia kujiteua kua Mgombea ?.
Majaji wametishiwa na wametishika
Majaji wametishiwa na wametishika
Tanzania hakuna majaji kwa sasa. wale ni wana ccm tu wanaovaa majohoWakuu mnakumbuka ilikua ni Leo Majaji kuamua Suala la Samia kujiteua kua Mgombea ?.
Majaji wametishiwa na wametishika
Lakini jiwe aliwaweza. Kwa wale mapapa, hakika ni kama kuhalalisha kula kwa urefu wa kamba. Ngoja tuoneKwa nilichokiona kwenye harambee ya ccm hii nchi bado miaka 180 kujitambua yaani kizazi chetu kiishe na cha watoto wetu kiishe wajukuu wetu sasa wanapoenda kuzeeka wale watoto wao ndo wata ing'oa ccm madarakani.
Kwa sasa sisi bado ni kondoo tu kwa ccm