Tetesi: Inasemekana Msimamizi wa Mochwari ya Mwananyamala hajulikani alipo

Tetesi: Inasemekana Msimamizi wa Mochwari ya Mwananyamala hajulikani alipo

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Dada anayesimamia mochwari ya Mwananyamala hajulikani alipo, kutokana na video za maiti za waandamanaji kuvuja. Mdugu zake wananmtafuta mpaka sasa.

Mpaka mtu unashindwa kuelewa ni akili gani zinatumika huko serikalini! Kumkamata huyo dada, yule daktari aliyekuwa wa Mwanza inasaidia nini wakati Dunia nzima inajua ukweli?

Hakuna namna nyingine zaidi ya kuwajibika kutokana na vifo vyote vilivyotokea, damu ya mtu haiendagi bure, kila tone lililomwagika lazima lilipiwe.o

View attachment 3504953
Hatari sana.samuya
 
It is more sickening ukifikiria haya mambo yote yanafanywa na mwanamke.

Na inakera zaidi ukiwaza kuna madume pale juu yanamuacha afanye huu upuuzi wote wa kuumiza familia za watu, halafu yenyewe kazi yao ni kupokea order tu.

Completely failed state.
 
Huyu bibi itakuwa kala kiapo cha kujivua utu. Ni shetani rasmi.
Kuna wakati unafikiria "au huyu mtu ni wakala wa shetani katumwa kuja kutuvurugia nchi yetu"🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Hili jambo hata mimi nililiongea siku za mwanzo tu baada ya mtandao kurejeshwa ya kwamba huyu kwa sasa siyo binadamu wà kawaida kama tulivyo sisi. Kwa sababu angekuwa ni binadamu wa kawaida, nina imani nafsi yake ingemsuta.

Kwa upande wangu namtabiria kuwa na mwisho mbaya sana. Na kamwe hatokuja kuwa na amani ya moyo kwa haya mauaji na mateso yote aliyo wafanyia watu.
 
It is more sickening ukifikiria haya mambo yote yanafanywa na mwanamke.

Na inakera zaidi ukiwaza kuna madume pale juu yanamuacha afanye huu upuuzi wote wa kuumiza familia za watu, halafu yenyewe kazi yao ni kupokea order tu.

Completely failed state.
Huyu kiumbe mpaka hao wanawake wenzake wanamshangaa kwa kujaliwa roho ya ukatili uliopitiliza, kisa tu aendelee kubakia madarakani.

Na kuhusu hao jamaa wenye kengele kama sisi, kwa kweli na wrnyewe wanatakiwa wafikie wakati wajitathmini! Yaani dume zina na akili yako unatumwa ukaue binadamu mwenzako na huyo ibilisi, eti unakubali! Huu ni uwendawazimu.
 
Hapa karibu na kijiweni kwangu kuna wanawake ambao walikuwa ni staunch supporters wa Samiya, na hata kwenye uchafuzi huu uliopita walienda kutick, ila baada ya familia zao kuumizwa na majangili wa samia ile tarehe 29 licha ya kukaa ndani na kutojihusisha na maandamano...

...sasa hivi wanamchukia samiya kuliko kitu chochote na wamesema hiyo 9/December na wao wanaingia barabarani.

Yale madume kule juu ni very useless, yapo tu na kengere zao eti yanalinda vyeo na mishaara kwa kufuata orders.... kwa ule uuaji waliokuwa wanaufanya wale majangili ulipaswa kuzuiliwa mara moja bila kujali kma boss mkuu atakasirika au vipi, maana majangili wale walikuwa wanaua mpaka watoto na mama wajawazito watu ambao hata vitani hawatakiwi kuguswa..

...ila yale mapumbavu na vitambi vyao ndio kwanza yanaendelea kumlimda mpaka dk hii.

Nadhani baada ya nchi kukombolewa sio tu jeshi la polisi linalohitaji kufanyiwa reform, bali hata JWTZ pia linahitaji kuangaliwa upya hasa kwenye hiyo CHAIN OF COMMAND, maana limejengwa katika utii wa kipumbavu mno.
 
Back
Top Bottom