2pac tuliambiwa hajafa, MJ yukasikia hivyohivyo hajafa, akaja Kanumba tukaambiwa hajafa ma sasa duru zinasema Don yupo hai.
Kufunua jeneza au kutofunua sio sheria na haitoshi kuhitimisha kwamba hajafa. Binagsi sikumbuki kuona jeneza la MJ wala Whitney kufunguliwa, waliobahatika wataleta mrejesho.