Inasababishwa na nini...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
wakuu habari za asubui...nisiwachoshe na maneno mengi niende kwenye point.kumekuwa na visa vingi sikuhizi au inaanza kuonekana kawaida sasa,jana usiku kuna binti wa miaka 26 amefumaniwa na baba ake mzazi wakivunja amri ya sita?binti kwa kujitetea akasema baba ake ka mlazimisha.kumbe watu walijua mahusiano yao kwa takribani miaka miwili nyuma.nikawa very interested hapa...nikwamba binti hakujua kitendo cha kulala na baba yake ni dhambi na kibaya?pili kama alilazimiswa mara ya kwanza kwanini hakusema kwa watu wazima akanogewa akaendelea miaka miwili now anajitetea kwamba alilazimiswa jamani kwa akili za jicho la pili utagundua binti nae alipenda kulala na baba ake?tatu hivi nikipi kinacho pelekea mpaka baba kumtamani binti yake ki mwili?na mbona hizi kesi ni rare sana kusikia mtoto wa kiume ka mlala mama ake?am just curious wakubwa
 

Uzinzi tuu. Imeandikwa "siku za mwisho kutakuwa na zinaa mbaya, kwamba binti atalala na babaye, kijana na mamaye....."
 
Uzinzi tuu. Imeandikwa "siku za mwisho kutakuwa na zinaa mbaya, kwamba binti atalala na babaye, kijana na mamaye....."
amakweli ndo siku za mwisho zimekaribia
 
Ni kutokuwa na hofu ya Mungu.....kwenye maandiko hii kitu kwa sisi wakristo lakin yule baba alipewa kilevi na watoto then kaz ikawa moja!!!!

Kati ya hao yupo agent wa shetan aliyelianzisha hilo balaa!!!!!ingawa binti wa umri huo ni mtu mzima jaman lol.
 
ndo hapo...yawezekana pia ni malezi,ukaribu kati ya baba na binti.mabinti wanavyo vya ovyo siku hizi.dunia imeharibika kweli mwanao ulie mzaa una mpasua kabisa
 
Ni kutokuwa na hofu ya Mungu....

Sidhani kama tunatakiwa tumuogope Mungu
Mungu alikuja akala nasi akanywa nasi
Mungu anasema njooni tusemezane,huwezi kuongea na unaemuogopa

Tunatakiwa tumjue Mungu,tukimjua tutajua namna anavyofanya kazi
Tutajua sheria zake alizoziweka na jinsi zinavyofanya kazi
Woga ni silaha ya shetani

Kunjua Mungu kuna maana ya kujijua sisi,kujijua sisi kuna maana ya kujua sisi ni nani na namna mwili unavyofanya kazi
Hapa tutajua kuwa kuzini ni ujinga na haijalishi unazini na nani!
 
Kotokuwa na haya hivi miaka 26..mtu unaweza kulazimishwa?walikuwa wanatamaniana tu..ni aibu kubwa.
 
Kotokuwa na haya hivi miaka 26..mtu unaweza kulazimishwa?walikuwa wanatamaniana tu..ni aibu kubwa.
ndo kitu na jiuliza ingekuwa mara ya kwanza hapo....kwa miaka miwili wameingiliana mara ngapi,wanaitana baby honey darling siku zote,anashinda na kanga moja
 
ndo hapo...yawezekana pia ni malezi,ukaribu kati ya baba na binti.mabinti wanavyo vya ovyo siku hizi.dunia imeharibika kweli mwanao ulie mzaa una mpasua kabisa

Akili mbovu both of them.....huyo bint ni mtu mzima mwenye uwezo wakuchambua lip sahihi kufanya na lip sio hasa katika jambo la waz kama hilo.
Swala la mavaz kuweza kumtamanisha baba mzaz me sikubali,Kwa mzaz timamu hata mtoto awe uchi hawez mtamani ingawa si shaur watu wawe uchi!!!!
Kumcha bwana ni mwanzo maarifa!!!!!
 
Mjinga tu mimi nimeolewa na 26..nitasema nimelazimishwa au nilitaka mwenyewe..watoto wa siku hizi wana mambo mpaka unabaki kinywa wazi..si tulikuwa na discpline ata boyfriend unaficha na si miaka mingi kama 5yrs back..now thubutu si ndio washamba wao ndio wanajua kila kitu..matokeo ndio hayo wanatembea na baba zao..
 
well said miss strong...kwa mzazi unae jitambua huwezi kumtamani binti yako hata kama kwa bahati mbaya umeona utupu wake,kwanza huna hizo isia za kipepo kichwani kwako
 
ukifanya utafiti utagundua kwamba asilimia kubwa ni familia zinazo jiweza sana ndo tabia hii imo
 
Uzinzi tuu. Imeandikwa "siku za mwisho kutakuwa na zinaa mbaya, kwamba binti atalala na babaye, kijana na mamaye....."

Kweli kabisa ndugu.. Kuna mmoja nilisoma naye Shule moja alikuwa anafanya hayo majambo na baba yake..siku Mama yake alipowafuma alizimia na baada ya muda Mamake alifariki.
 

Sahihi kabisa..ni kwamba watu wenye uhusiano mmoja(damu moja) hawana mvuto wa kimapenzi kwa kila mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…