UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI.
Moja ya ingredient iliyopo kwenye sigara ni Nicotine (Mood altering drug).
Nicotine hufika kwenye ubongo ndani ya sekunde, ambayo hufanya kazi ya kusisimua mfumo wa fahamu (Central Nervous System) kwa mda mfupi tu, mbali na hayo uvutaji wa sigara hupelekea kuathiri uwezo wa ku taste (radha), huathiri uwezo wa kuona (eye sight), na pia hata uwezo wa kunusa (smell).
Madhara yatokanayo na uvutaji wa sigara.
1. Huathiri mfumo wa upumuaji, hii hupelekea mapafu kushindwa kuchuja vitu vyenye madhara pindi viingiapo kwenye mfumo wa hewa.
2. Huathiri mfumo wa mzunguko wa damu, hufanya mishipa ya damu kukaza hivyo damu kutozunguka vizuri.
3. Huathiri muonekano wa ngozi.
4. Hushusha uwezo wa kufanya mapenzi, na kwa wanawake hupelekea siku zao kukata, kutoshika mimba, kufikia orgasm (kileleni) kwa shida sana, pia hupelekea cancer ya cervics.
Hayo ni kwa uchache tu, japo yapo mengi mno.
Unatakiwa kuzingatia kila unapovuta sigara unapunguza kiasi cha 25mg za vitamin C mwilini, na kama unatambua miili yetu haina uwezo wa kutengeneza Vitamin C hivyo hutegemea kutoka nje (vyakula).
Faida za Vitamini C (Absorbent C)
-Husaidia afya ya ngozi,
-Huimarisha cartilage kwenye viungo,
-Huimarisha Meno, Fizi, na Mishipa ya Damu
-Kuongeza kinga ya mwili..
-Husaidia changamoto za mfumo wa Hewa.
Pendekezo:
Forever Absorbent C ni bidhaa iliyosindikwa kwa machungwa, papai, malimau, asali na Oat bran...ina 60mg ya vitamini C kwa kila kidonge kimoja, ina Oat bran husaidia ufyonzwaji wa vitamini C mwilini..Vitamini C ni muhimu kwa kila binadamu na Kwa kusaidia wavuta sigara kupunguza kuvuta na kuepuka upoteaji wa Vitamini C mwilini.
Tumia Aloe vera Gel, na Vitamin C ya F.L.P yaani Absorbent C.
Uvutaji wa Sigara ni hatari.
Kwa mahitaji ya Absorbent C
Call/Text/Whatsap: 0719 700 745 na/au 0677 368 220.