Inaonekana Miaka ya uchaguzi shule nyingi huungua moto

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,741
17,977
Kumbukumbu zangu zimenirudisha nyuma kidogo na kuunganisha matukio ya zamani na ya sasa nikagundua kuwa miaka yenye uchaguzi hususani nusu ya pili ya mwaka hushamiri matukio ya shule kuungua Moto. Hata mwaka huu Tangu mchakato wa uchaguzi ulipoanza tu kuakaibuaka matukio ya shule kuungua Moto.

Je, kuna uhusiano kati ya uchaguzi na shule kuungua?
 
Jana imeungua nyingine, Mwanza, inaitwa St. Joseph shule ya wasichana. Ipo juu ya Mwanza sec
 
Back
Top Bottom