Ha ha ha ha umeniwezaWewe nae hueleweki mra yeye ndio anajishtukia mara ww ndio hujiamini eti yeye mzuri kushinda wewe...mwanamke toka lini akaanza kujishindanisha uzuri na mumewe?!
Au wewe ni wale wanawake wenye miili mikubwa mpkaka ukivaa tshirt nyekundu unaonekana kama kibanda cha M-PESA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili swali hata hua najiuliza sipati jibuKwanza nikupe pole mamaa ya pita kwa kutojiamini,jua kwa kufanya hivyo unajikosesha mema ya nchi...halafu ilikuwaje mkaoana wakati hamna amani mioyoni mwenu,mlilazimishwa,njaa,ulitaka uonekane naww kwa watu kuwa pamoja na kuzalishwa naww umepata ndoa,mihemko,umri,....ama ni nini hasa??lol
Ha ha ha ha umeniweza
Ww na mumeo mtapata tabu saana,..na huo ni mwanzo tuu kuna dalili za mtu kuonekana nyambizi..Ili swali hata hua najiuliza sipati jibu
Nimeolewa ninakama miez 3 hv
bt Sina amani kabisa na haya maisha ya kindoa nayoishi
Cjui nimejikatia tamaa tu yan sielew
Mimi na huyu mme wangu kanizidi miaka 2 tu, lkn mtu akituangalia naonekana Kama Mimi mkubwa HV
Maana tayar ninamtoto wa mwanamme mwingine ye hana
Nachanganyikiwa sababu namuona hana amani na Mimi japo anajitahidi kuficha ila mi naelewa tu kimoyomoyo
Hata katika kutafuta nyumba anataka tuishi sehem haina mchanganyiko na watu,,, nyumba ya peke atu, tukiwa tunaenda sehem akikutana na mtu anaemfaham au wanafanya wote kazi anakosa Aman kabisa......
Leo kuna sherehe kazin kwao wameambiwa waende na familia zao nikamtania namimi naenda alikosa amani mpaka nikamuonea huruma nilivyomwambia mi siendi alichangamka baraa
Moyo unaniuma huyu tutazeeshaa kweli???
Kwanza hii inanijengea kutojiamini kabisa,,, kujichukia maana kimuonekano mwenzangu Ni mzur kunishinda Mimi
Mungu nisaidie tu
Mkuu hiz kashfa hakika umechupa mipakaWewe nae hueleweki mra yeye ndio anajishtukia mara ww ndio hujiamini eti yeye mzuri kushinda wewe...mwanamke toka lini akaanza kujishindanisha uzuri na mumewe?!
Au wewe ni wale wanawake wenye miili mikubwa mpkaka ukivaa nguo nyekundu unaonekana kama kibanda cha M-PESA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyambizi mambo?[emoji1][emoji1][emoji1]Nimeolewa ninakama miez 3 hv
bt Sina amani kabisa na haya maisha ya kindoa nayoishi
Cjui nimejikatia tamaa tu yan sielew
Mimi na huyu mme wangu kanizidi miaka 2 tu, lkn mtu akituangalia naonekana Kama Mimi mkubwa HV
Maana tayar ninamtoto wa mwanamme mwingine ye hana
Nachanganyikiwa sababu namuona hana amani na Mimi japo anajitahidi kuficha ila mi naelewa tu kimoyomoyo
Hata katika kutafuta nyumba anataka tuishi sehem haina mchanganyiko na watu,,, nyumba ya peke atu, tukiwa tunaenda sehem akikutana na mtu anaemfaham au wanafanya wote kazi anakosa Aman kabisa......
Leo kuna sherehe kazin kwao wameambiwa waende na familia zao nikamtania namimi naenda alikosa amani mpaka nikamuonea huruma nilivyomwambia mi siendi alichangamka baraa
Moyo unaniuma huyu tutazeeshaa kweli???
Kwanza hii inanijengea kutojiamini kabisa,,, kujichukia maana kimuonekano mwenzangu Ni mzur kunishinda Mimi
Mungu nisaidie tu
Nimeolewa ninakama miez 3 hv
bt Sina amani kabisa na haya maisha ya kindoa nayoishi
Cjui nimejikatia tamaa tu yan sielew
Mimi na huyu mme wangu kanizidi miaka 2 tu, lkn mtu akituangalia naonekana Kama Mimi mkubwa HV
Maana tayar ninamtoto wa mwanamme mwingine ye hana
Nachanganyikiwa sababu namuona hana amani na Mimi japo anajitahidi kuficha ila mi naelewa tu kimoyomoyo
Hata katika kutafuta nyumba anataka tuishi sehem haina mchanganyiko na watu,,, nyumba ya peke atu, tukiwa tunaenda sehem akikutana na mtu anaemfaham au wanafanya wote kazi anakosa Aman kabisa......
Leo kuna sherehe kazin kwao wameambiwa waende na familia zao nikamtania namimi naenda alikosa amani mpaka nikamuonea huruma nilivyomwambia mi siendi alichangamka baraa
Moyo unaniuma huyu tutazeeshaa kweli???
Kwanza hii inanijengea kutojiamini kabisa,,, kujichukia maana kimuonekano mwenzangu Ni mzur kunishinda Mimi
Mungu nisaidie tu
Mi sio mnene ninamwil kiasi tu...mi mrefu, maziwa makubwa kiac, tumbo kubwa miguu miembamba alafu Shep hamna....hua navaa nguo za vitenge gaun ndefu au sket ndefu Sasa mwenzangu anakeleka...leo kwenye sherehe kakagua nguo kasema leo unavaa yale magaun yako nikamwambia mi siendi ndio kapata amanPunguza weight kama unaona unene unakukosesha kuwa confident, kama unakata nywele kama wa dhehebu Fulani anza kusuka vizuri ata mawigi sukia,lol last kama sio mtu wa make up, anza kupaka make up,ukifanya hivi vyote ukapendeza itakupa confidence na kuwa na furaha ya moyo,ndio maana wanawake tuna vipodozi vingi ni sababu tuko sensitive on how we look mkuu
Nitie ata moyo basi jmnWw na mumeo mtapata tabu saana,..na huo ni mwanzo tuu kuna dalili za mtu kuonekana nyambizi..
We nawe,..! Unapiga mulemuleKwanza nikupe pole mamaa ya pita kwa kutojiamini,jua kwa kufanya hivyo unajikosesha mema ya nchi...halafu ilikuwaje mkaoana wakati hamna amani mioyoni mwenu,mlilazimishwa,njaa,ulitaka uonekane naww kwa watu kuwa pamoja na kuzalishwa naww umepata ndoa,mihemko,umri,....ama ni nini hasa??lol
Yuko vzur mno anakipato kizur tu...binafsi pia najishughurisha....nisaidieMimi naweza kukusaidia nini cha kufanya, niambe mume wako ana anakipato kizur, cha kuwafanya msilie njaa kabisa au na wew unapambana sana kumpa sapoti????
Sent using Jamii Forums mobile app