Inaniuma sana, nimeamua nitapike ni kisa cha kweli!!!!!!!!!

Bado unampenda mtu katili kama huyo???
alikuongopea sasa umeshagundua piga moyo konde maisha yasonge mbele...
Huyo si wako! tena mshukuru Mungu saana kwa kujua hayo mapema.....
 

Mpende akupendae asiye kupenda ACHANA NAYE -TOT PLUS
 

brb wa2 hawapendi sura wala uzuri..wa2 wanakabz Moyo kwa wale wanaowapenda.......sema ni bahat mbaya kumpenda m2 asiyempenda ila dada yang be blesd na Moyo wako
 
DUNIA YAKO CHAGUO LAKO. Chagua kufurahia maisha, chagua kuachana na michosho ya viumbe wenzako! You only have some years on this little planet. AMKA SASA.
 
Dada, mapenzi ni kupendana na si kupenda. Sisi wanaume tunaanza na kutamani kwanza kupenda kunakuja baadae sana. Mara nyingi tunapenda kutesti kabla ya kupenda n.k. Mpenzi wa ukweli na mwenye malengo na mtu huweza kuvumilia kwa muda mrefu sana bila kutest. Ila ujue jamaa alikutamani tu akaduu kumbe alikuwa hakupendi. HILO LISIKUTIE SHAKA NA KUONA KWAMBA HUNA MAANA. Chaguo lako lipo ila tu uwe makini na mwanaume unayekuwa nae katika mahusiano.
 
wewe ni mwanamke umetendwa na mwanaume kuna mwanaume nae amelizwa mbaya na kupenda. chukua hilo kama ni changamoto na si tatizo hapo utakomaa na kuwa na mawazo chanya ya kukuweka mahali wastahili.
u‘ve bee in a relatiomship for 2 yrs, mm nimelia after being in love for 5 yrs and only 6 months from getting married and yet there r other pples story, when i hear them, i moved a
n see mine is nothin.
ukilala ukaamka, thank God n know a new day has come
 
nilikua nimetoka kidogo,,,,ok, kwani ulishampa game msela?kama ulishatoa game basi msela labda kachoka,,,?pole ila mapenzi yanauma na yana nguvu kuliko kifo,,,daaaaahhh
 
sasa kama mtu hakupendi unamng'ang'ania wa kazi gani....move on, maisha hayasimami bana
 
Wewe mkomalie tu, unaweza kumuuliza kama imani yake inakataza kuwa na mitara (la), ninaimani hujali kuwa mke mwenza
 
inapendeza sana, najua huyu ni juniour Member kwahiyo Paka Jimmy kuandika hiyo Post ni kumwelewesha jinsi JF inavyoendeshwa

Si angempa tu link ..
Au amweleze kuhusu sheria na wapi za kuzipata ... labda alisha zisoma kabla hata hakufungua hii thread .. ... ......

Haipendezi kwa kweli ..
 
Wewe mkomalie tu, unaweza kumuuliza kama imani yake inakataza kuwa na mitara (la), ninaimani hujali kuwa mke mwenza

Ndugu, haya mambo ya mitara yasikie tu hivihivi wala usijaribu kabisaa.....!! After all, kwa nini aforce mapenzi?? Ili aendelee kuumia zaidi sio? Acha kabisa my dear, the best way ni kuukubali ukweli kwamba ameachwa na kuandika historia kuwa aliwahi kuwa na fulani ambae muda wake ulishapita kama majimaji war......thats all!!! Then, my conclusion lies to the fact that, kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.......so get off those stubborn feelings as it seems he was not a man enough and ready for you!!!!!
 
PJ leo umechemka sijui bado uko pale mianzini??? Weekend mbaya sana.

Mwenzio analia na mapenzi wewe unaleta mambo ya michango mara sheria za JF wapi na wapi bana aaahhh hata kama ni bro nakuchana live tu
 
Hayo 'mapenzi' yako kwake yana uhusiano wowote na hiyo 'promiss' [sic] aliyokupa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…