Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba Mwalimu alishapewa PhD nyingi tu. Ila hakuwa mtu wa kutafuta sifa za kijinga kama akina JK. Hata hivyo nafikiri Ben pia hajataka hata kidogo kujikweza na PhD za mezani. Ukikumbuka vizuri ndiye alifuta hata jina la Mtukufu kwa Rais, na kujitahidi kuyapuuza majina yote yanayolenga kumpa sifa zisizo na maana. Ila huyu ndugu yetu wa Msoga wala sijui kama ni ulimbukeni au ni kitu gani. Taabu tupu!