Inaniuma saana

Pole. Mweleze Mungu hitaji la moyo wako naye atakujibu.
 
Anza kutafuna vicheche kwanza. Ukishapata experience ndio utafute mke wa kuoa
 
Tafuta innocent girls wanavaa magauni,na wanasali sana sasa wewe unaenda kwa hao wavaa vipedo,na kwenda kula bata swiming pool.POLE ZAKO Unatakiwa uwe na mke ambae ukimwambia twende kula bata swimming pool anajibu "mpz zambi kwenda huko"



Nimechekaje?
 
Pole sana kaka Erick! Mapenz ya cku hzi ni maumiv. Yan hapa kila mtu ana janga lake. Uckate tamaa wakt bdo unapumua. Ila nakushaur kwanza tuliza kchwa, af mwite mungu ktk maisha yako akuonyeshe Eva wako ni nani. Mungu huwa anajibu japo kwa kuchelewa. Kila Adam ana Eva wake, kazi ipo kumtambua sasa, utaumizwa bt mwisho wa cku utampata alietoka kny ubav wako wa kushoto. Sisi wanawake tupo tofauti ndugu unapaswa kuwa makin sana. Ucjickie upweke sana coz co peke yako ulieumizwa, tupo wengi tumeumizwa tumeamua kutulia tu. Subra muhm kaka.
 
Pole sana mkuu.
Kwa sababu hujaoa una mda wa kuangalia mustakabali mwingine. Kama ungekuwa umeoa ungeshawishika kusamehe na kuendelea na safari kwa sababu Ndoa ni agano la milele. Kifo tu ndio kimepewa mamlaka halali ya kutoa talaka kwenye ndoa.
Kwa miasha ya sasa huna haja ya kupanda presha na kuhamaki sana. Hilo limeshatokea huna budi ya kulirusha nyuma na kuanza maisha upya (Still the decision is totally yours to make)
Wanawake ni wengi sana na yupo ambaye ameandaliwa kwa ajili yako. Muamini Mungu ndio matchmaker mkuu linapokuja suala la ndoa.
Maombi yangu kwa Mungu akupe subira wakati unamngoja yule akupasae kuishi nawe. Aliepewa majukumu ya kuwa msaidizi wa kweli katika maisha yako.
Amina
 
pole sana ila ushauri wangu wanawake wa kuoa usitafutie maeneo ya starehe.

mwombe mungu akupe mwanamke mwenye mapenzi si wote wapo ivyo.

jaribu kukaa kwa kipindi fulani bila kuwa na uhusiano wowote. then ndo ufanye maamuzi.
 
hicho ndo kitu nahisi ni dhambi kwangu!! ku change na kuwa na wasichan tofauti!! sema nako elekea itabidi nijifunze

Nooooo,kaka yangu don dare do that, hakuna chochote cha maana utakachopata zaidi ya dhambi!
Ww tulia tu,omba toba... mwambie,Mungu....ht hayo maumivu yataisha
 
mmmmh tatixo ninaloliona hapa ni papara mkuu!tumia muda kusoma angalau kahistoria ka mwenza kabla ya kuamua la sivyo utaokota milupo kila siku mkuu!kukutana tu swimming pull unatangaza ndoa!siku hizi kuna mapinduzi makubwa mkuu Enzi zile ukitaka kuona ---- unafunua chupi lakini siku hizi ukitaka kuona chupi unafunua ----!ni angalizo u mkuu.
 
Unatafuta wazuri mno ambao sio size yako, we miaka 7 na kuchenji lovers si una Masters ya mapenzi, ila pole ka kweli
 
ila omba Mungu, coz kuna roho za kukataliwa pia unajua....so unaweza ukawa unalaumu wadada kumbe ww ndo una tatizo....
Km ni mkristo najua unaelewa nachomaanisha
 
Hiki kisa kama cyo cha kubuni cjui ila kama ni cha kweli pole Ushauri wangu kwako jaribu Kufunga na kumrudia Mungu atakuongoza and uwe makini kwama walivyo xema wenzangu hapo juu cyo kila mwanamke waweza kuoa...
 
Unajua ngono inapokuwa ndio kitu cha kwanza kuwaunganisha binti na kijana mwisho wake ndio huu, (ngono kwanza then idea ya mke na mume inafuata), kama ngono ingekuwa ni kitu cha pili cha kufikiria kabla ya kumtokea mdada nadhani tafakari kali kabla ya kufanya uamuzi wa kumtokea demu ingefanyika na ingetoa tathimini kama huyo unaruka nae au ni permanent maana kwa mwanaume mtu mzima anapomtokea demu huwa ana mawili kichwani either anapitia tu alafu baadae anaingia mitini (though atajifanya anataka kuoa) au anapitia huku tayari alishamfuatilia na kuona kwamba anafaa kuwa mke.

Nadhani mdau utakuwa unatumia approach ya kugegeda tu then in the course of relationship idea ya maarriage inakuja, maoni yangu usihuzunike sana kwani hiyo ni sehemu ya funzo na kukufanya strong kwani mke wako utakaekuja kumuoa yupo tu anakusubiri ukifika muda atatokea. Pia na wewe mahusiano gani hayo ya miaka mitatu upo na demu alafu unasema una mipango nae ya ndoa huku ukizingatia tendo la kupenda ni la mara moja (ukimpata mwingine usichukue muda mrefu sana wa miaka kadhaa unakula mzigo tu alafu hueleweki kwani kuna ambao wakiona kitu hukifanyia tathimini ya haraka na kutangaza nia baada ya miezi 8 tu tangu wafahamiane, unaweza kumwona kicheche (ukiondoa huyo wa fumanizi) kumbe na wewe ulichelewa kutangaza nia akaja mtu akatangaza nia kabla ya kula mzigo mwisho wa siku akashinda.
 
Pole saana, kaza moyo ila hiyo ni cha mtoto, je ungekuwa mko wote mme/mke, halafu anakuaga anaenda msibani kwao , kesho unadamka kumfuata msibani halafu unakuta hakuna msiba na yeye hayupo pale!!!!!!!!!!!!!, si umgezimia kabisa?????????. Msamehe kwa kuwa hajui alitendalo ila mwombe mungu akujalie mke wa kweli
 
Tafuta innocent girls wanavaa magauni,na wanasali sana sasa wewe unaenda kwa hao wavaa vipedo,na kwenda kula bata swiming pool.POLE ZAKO Unatakiwa uwe na mke ambae ukimwambia twende kula bata swimming pool anajibu "mpz zambi kwenda huko"

Hahahaahaaaaa!!!!!umenichekesha sana , hapo kwenye RED, yaani ni ukweli maana unaona kama anachezea pesa vile, mpk akung'ang'anize sana ndiyo unakwenda kwa shingo upande, na masharti juu kuwa pesa ushike wewe, maana akishika yeye anakuwa anazitoa tu utafikiri alipokuwa anatafuta ilikuwa rahisi hivyo, Loh!! Billie umenipiga dongo, itabidi nijirekebishe.
 

There is some one special for you kijana. Acha kupiga mayowe kwasababu hilo jambo nilakawaida saaaaaaana. Ila ushauri wangu kwako ni huu (USIPIME KINA CHA MAJI KWA MIGUU YOTE MIWILI)
 

Wacha kupiga mayowe haya mambo ni yakawaida sana. Ushauri wangu kwako ni huu ( usipime kina cha mto kwa miguu yote miwili). Be patient coz there is some one special for you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…