dah... Pole sana ndugu yangu...majarib mengine mazito kweli.
Siwezi kukushauri umsamehe. Rudi ktk sala na maombi ya kuomba mwenza wa maisha. Mungu atakujibu.
Hii dhana yakuchezea mwanamke huwa sielewagi!!!!!unamchezea how wakati kama kufanya mnafanya wote..........mwanaume anayejitambua pia hachezei mwanamke.
Hii dhana yakuchezea mwanamke huwa sielewagi!!!!!unamchezea how wakati kama kufanya mnafanya wote..........mwanaume anayejitambua pia hachezei mwanamke.
Ndio maisha ndugu yako hayana mteremko yamejaa misukosuko na misukosuko hio ndio inatupa nguvu,busara na hekima za kuwa watu tulio sasa...Kumbuka kuna watu wana matatizo kuzidi yako wewe..We shukuru mungu na uombe akupe mke mwema na inshallah dua zako zitasikika...
HA AH AA nipo ok but siwezi na sijazoea kupga mikas ovyo!!
inawezekana kweli ila ndo nikutane nao mimi tu jamani?? na hizi koo za kuoa zinajulikana vipi?
Basi jifungie ndani usubiri kuokota makopo manake kuna siku demu atakamuliwa mbele yako ukiwa unatazama hadi wamtoe supu ya kwenye mfupa na hapo ndio utarukwa na akili
mmmmh, hii nayo point bu nyota yangu Imesimamiwa na Mungu na ipo safi na bahati nzuri na ndugu wa karibu wameoa na kuolewa kwenye nux sidhani kama nipo
Msema peke yake muongo! Hao mabint wote wa3 wakiitwa nao watakuwa na story zao kukuhusu.thanks but kumbuka ni mara 3 na wana wake 3 tofauti!! sasa nikikaa tena hata miaka 2 na huyu wa 4 si ndo atakuwa zaidi jamani?
anachosema Billie ni sahihi kuna CHAPA chezea na CHAPA olewa..
Koo nyingine zilishabeba nuksi..mabinti hawaolew...
Ndo anazopita mtoa mada
Wengine wana ndoto yakuolewa na fulani......