inamaanisha nini?

No matter

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
60
Reaction score
10
hi all members of jf, kuuliza cyo ujinga bali ni kuongeza new knowledge to existing knwldg, nmejaribu kusoma post na comment nyng nimeona neno PM bt cjaelewa lina maana gani na linatumika in whch circumstance? PM(prime minister)?!! msinishangae coz jana ndo nmejoin ktk forum hii kama nilivowambia.
 
nenda jukwaa la complaints,congrats advice kuna topic inajieleza.
Ni vizuri kabla hujauliza ukafanya research kidogo ushughulishe ubongo wako.
Nikimaliza hapa kuandika naomba bonyeza hapo kwenye neno pm kushoto utapata jibu
.
 
PM yaweza kuwa

Principia Mathematica

Post Meridiem

Pontifex Maximus

Private Message

nakadhalika nakadhalika


Nabahatisha kuwa kwa muktadha wa JamiiForums itakuwa Private Message

Ahsante
 
Gaijin kama PM ni private message na inatumwaje hiyo private message humu jf?
 
Last edited by a moderator:
hujui maana ya send pm??
bonyeza hiyo sehemu send pm mfano nimekupm fungua kama unatumia mobile click hapo pekundu palioandikwa New pm Kama desktop click notifications then private message au itakuja yenyewe mazima wewe click tu.
Just click hafu jaribu kureply basi kabla hujaulizwa eti amu nitakujibuje.
Usituchoshe na maswali yako banaaaa
 
Last edited by a moderator:
Gaijin kama PM ni private message na inatumwaje hiyo private message humu jf?

Private Message tunaweza kuitafsiri kama Ujumbe wa Faragha (Ujumbe Binafsi)

Kama maana yake inavyomaanisha, ni ujumbe unaotumwa baina ya mwanachama mmoja kwa mwengine, katika ngazi binafsi huko faraghani

Kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe huo

Lakini rahisi zaidi ni hii:

Kila mwanachama anapotuma ujumbe, chini kushoto kumeandikwa "Send PM".

Bofya hapo ili uweze kutuma ujumbe kwa mwanachama huyo uliyebofya kitufe chake cha "Send PM"

Kielelezo kamili kipo kwenye picha

Ahsante

 
Reactions: amu

Wewe kama umechoka, usimjibu

Waache waliokuwa hawajachoka wamueleweshe

Huenda akaelewa

Mbona mnakuwa wakali kwa mambo yasowahusu?
 
ukali upo upo wapi???

Hizo alama za kuuliza mbili mbili zinaashiria kukimwa

Na ulipofika kwenye "Usituchoshe na maswali yako banaaa," ndipo ulipodhihirisha ukali wako


 
thanx, bt wa2 wa humu jf inaonesha wengine wana hasira za harak, calm down washkaji ili 2share views ze2.
 
Hizo alama za kuuliza mbili mbili zinaashiria kukimwa

Na ulipofika kwenye "Usituchoshe na maswali yako banaaa," ndipo ulipodhihirisha ukali wako

pole sana
 
thanx, bt wa2 wa humu jf inaonesha wengine wana hasira za harak, calm down washkaji ili 2share views ze2.
mbona hujibu umeiona hiyo pm??
unaweza kuireply?
embu jaribu kwanza ndo uje kuleta maloloso mengine.
Ngoja nami nikuulize unajua kugonga like??
 
mbona hujibu umeiona hiyo pm??
unaweza kuireply?
embu jaribu kwanza ndo uje kuleta maloloso mengine

Anaweza kuwa kaiona lakini hataki kujibu vile vile
 
Reactions: amu
No matter

Today 11:52
#1
Member Array


Join Date : 27th July 2013

Posts : 14

Rep Power : 303

Likes Received
0

Likes Given
0



[h=2]
inamaanisha nini?[/h]
hi all members of jf, kuuliza cyo ujinga bali ni kuongeza new knowledge to existing knwldg, nmejaribu kusoma post na comment nyng nimeona neno PM bt cjaelewa lina maana gani na linatumika in whch circumstance? PM(prime minister)?!! msinishangae coz jana ndo nmejoin ktk forum hii kama nilivowambia.
​





haya mpe Gaijin like hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…