BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Nataka kujua hivi hizi pete zinazovaliwa kidoleni zina maana gani? Na kuna pete za aina ngapi? Ninazojua mimi kuna pete ya uchumba na za ndoa , je wakuu zinazovaliwa tofauti na hizo ni za namna gani ,unaweza mkuta mtu hana mchumba wala hayuko kwenye ndoa anavaa pete hapo inakuweje wakuu.